DON'T MISS
Loading...
Showing posts with label kimataifa. Show all posts
Showing posts with label kimataifa. Show all posts

RATIBA: Fahamu Timu Watakazokutana Nazo YANGA SC na AZAM FC Mashindano ya Kimataifa

Shirikisho la soka barani Afrika CAF leo December 21 2016 lilichezesha droo ya timu zitakazoshiriki michuano ya kimataifa kwa mwaka 2017...
Read More

Arsene Wenger: Nilikuwa nahofia sana kumchezesha Alexis Sanchez kama mshambuliaji wa kati

Kocha Arsene Wenger amesema kuwa mwanzoni alipatwa na hofu kwamba alikuwa anafanya makosa kumchezesha Alexis Sanchez kwenye nafasi ya mc...
Read More

PSG YASHINDA,BALOTELLI AHARIBU

BAADA ya kuwa katika kiwango duni katika siku za hivi karibuni hatimaye usiku wa kuamkia leo Paris Saint-Germain imewapa mashabiki w...
Read More

KOMBE LA MFALME:BARCA YAUA 7,SEVILLA 9,HAT TRICK 3 USIKU MMOJA

Barcelona imeifanyia mauaji makubwa klabu ya daraja la pili ya Hercules baada ya usiku wa jana Jumatano kuichapa mabao 7-0 katika mch...
Read More

MICHAEL CARRICK: Dawa Inayoingia Damuni Kwa Manchester United

Takwimu zinaweza kutengenezwa ili kuleta maana au kushawishi jambo fulani lakini sio kipindi ambacho mhusika ni mzee mwenye akili timam...
Read More

Refa mzambia ametaja sababu ya kuahirisha kumuonesha kadi nyekundu Ramos wa Real Madrid

Moja kati ya vitu au maamuzi yaliyoingia kwenye headlines ni kuhusiana na refa wa mchezo wa fainali ya Club bingwa dunia kati ya  Real ...
Read More

UNAKUMBUKA ILE DERBY YA MANCHESTER ILIYO HAIRISHWA MWEZI JULAI,SASA ITAPIGWA MWEZI HUU

Debi ya kwanza ya Manchester kuchezewa nje ya England huenda ikachezewa nchini Marekani majira ya joto. Manchester City chini ya P...
Read More

GRIEZMANN AVUNJA UKIMYA KUHUSU KUJIUNGA NA ARSENAL...

Winga wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann amevunja ukimya kuhusu tetesi za kuwa anaweza kujiunga na Arsenal baada ya mchezaji mwenza...
Read More