Debi ya kwanza ya Manchester kuchezewa nje ya England huenda ikachezewa nchini Marekani majira ya joto.
Manchester City chini ya Pep Guardiola na Manchester United chini ya Jose Mourinho, walipangiwa kukutana mjini Beijing,Nchini China Julai mwaka huu.
Hata hivyo, hilo halikufanikiwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kuzuia mchezo huo kufanyika katika uwanja wa Bird's Nest.
Hata hivyo, hilo halikufanikiwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kuzuia mchezo huo kufanyika katika uwanja wa Bird's Nest.
Mchezo huo ulifutiliwa mbali saa sita kabla ya kuanza.
Klabu zote mbili zitakuwa Marekani Julai kujiandaa kwa mwanzo wa msimu wa 2017/2018.
Klabu zote mbili zitakuwa Marekani Julai kujiandaa kwa mwanzo wa msimu wa 2017/2018.
Hakujatolewa maelezo zaidi lakini klabu zote mbili zinatarajiwa kushiriki katika Kombe la Bingwa wa Kimataifa.
0 comments:
Post a Comment