Wababe watatu wa Ligi Kuu ya Hispania ( La Liga) Wafunga jumla ya mabao 17 mechi za Jana.
Jana unaweza Ukasema ilikuwa siku nzuri ila mbaya pia kwa Wengine katika ligi kuu ya Hispania La Liga, mara baada ya Kushuhudia Barcelona, Atletico Madrid na Real Madrid wakivuna magoli kibao katika mechi za jana Barcelona walishinda Bao 4 kwa 0 dhidi ya Deportivo la Coruna.
Real Madrid wakashinda bado 6 kwa 1 dhidi ya Real Betis, Nao Atletico Madrid wakazidi kutia fora kwa ushindi wa bao 7 kwa 1, Ukijumlisha jumla ya mabao ya wababe hao 3 wa la liga ni mabao 17
0 comments:
Post a Comment