Wachezaji wa kIkosi cha Simba wanaonekana wako tayari kwa ajili ya mechi ya keshokutwa Jumamosi dhidi ya Azam FC.
Mechi hiyo ni mtihani mkubwa kwa Simba kwa kuwa lazima washinde ili waendelee kubaki kileleni.
Kocha
Joseph Omog ameendelea kuwaongoza vijana wake kufanya mazoezi kwenye
Uwanja wa Boko Veterani nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kujiandaa na
mchezo huo.
0 comments:
Post a Comment