PSG ya kamilisha usajili wa kiungo Julian Draxler


Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Nchini Ufaransa, imetangaza kufanya usajili wa kiungo mshambuliaji ,Julian Draxler kutoka Wolfsburg kwa mkataba wa miaka minne na nusu kwa ada ambayo inasemekana kuwa ni pauni milioni £34m.

Mjerumani huyo,23, atajiunga rasmi na matajiri hao wa Ufaransa mwezi ujao katika dirisha dogo la usajili.
Share on Google Plus

About omary omary

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment