Mamelodi Sundowns yaanza vyema Fainali ya klabu bingwa afrika,Yaichapa kichapo kikali Zamaleki


Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini imeanza vyema Mechi yake ya kwanza klabu bingwa Afrika  ikiwa nyumbani mara baada ya kuwafunga Zamalek tokea Misri kwa bao  Tatu kwa bila, Magoli ya wenyeji yakifungwa na Laffor dakika ya 31, Lengerman 40 na Percy Tau dakika ya 50.

Na hivi ndivyo takwimu mbali mbali katika mechi hiyo.
Share on Google Plus

About omary omary

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment