A.S.S.A Djiboutie Telecom ya Jeff, Hadji na Luco imechukua kombe la Super Cup

Klabu ya A.S.S.A Djiboutie Telecom ya nchini Djiboutie imechukua kombe la Super Cup kwa kuitiririkia mvua ya mabao  FC  DIKHIL kwa bao 5 -2 huku golikipa wa timu ya taifa Intamba Murugamba, Nzokira Jeff akifaulu kuokoa penalti moja katika fainali hiyo.

A.S.S.A Djiboutie Telecom imefanikiwa kuchukua kombe zote mwaka huu ikiwemo Ubingwa wa Ligi Kuu, Kombe la Raisi, Super Cup pia imefuzu kushiriki hatua ya makundi ya ligi Arabe mwaka huu nchini Qatar.

Tuwakumbushe kuwa A.S.S.A Djiboutie Telecom imesajili wachezaji wa wili msimu huu wa Burundi, Luco na Moussa Mossi Hadji ila wachezaji hawo wa wili kutoka Burundi hawakucheza fainali ya Super Cup kwa tatizo iliyojitokeza kati ya shirika mbili za michezo ya Burundi na Djiboutie, ila wachezaji hawo wameruhusiwa baada ya fainali hiyo.
Share on Google Plus

About omary omary

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment