Kuelekea Yanga vs Azam leo 16.10.2016 Azam Kuwakosa Nyota wake wawili
Leo Ni Derby nyingine ambayo itashuhudiwa jijijini Dar Es Salaam kati ya Yanga na Azam katika uwanja wa Uhuru Jijijini Dar Es Salaam.
Kupitia kwa msemaji wa Azam Fc Jaffari Iddi Maganga, Azam Fc wanatarajiwa kuwakosa wachezaji wake wawili muhimu Ambao ni majeruhi, Azam itamkosa Pascal Wawa na mchezaji Shomari Kapombe.
0 comments:
Post a Comment