Haji Manara aanza kuuota Ubingwa wa Ligi Kuu,Asema haya baada ya Ushindi dhidi ya Kagera Sugar

Tokeo la picha la haji manara wa simba
Haji Manara ambaye ni msemaji wa timu ya Simba ameendelea kusisitiza kuwa huu ni mwaka wa Simba na Ubingwa ni wao na hakuna wa Kuwazuia Kuuchukua Ubingwa wa Mwaka Huu, Manara alisema " Ubingwa ni wetu na Hakuna anayeweza Kutuzuia zaidi ya Mungu"

Simba imekuwa ikiendelea Kuwatesa WAPINZANI wao toka ligi kuu imeanza huku ikiwa haijapoteza  hata mechi moja toka ligi kuu imeanza na katika mechi yao ya Kagera wakishinda bao 2 kwa 0.
Share on Google Plus

About omary omary

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment