Programu hiyo itarahisisha maisha ya walemavu kote ulimwenguni.
Hadi kufikia sasa Google inaunda programu ambazo husaidia watu wote katika kila upande wa dunia .
Programu hiyo mpya itawaezesha walemavu kuweza kutafuta maeneo maalum kwa ajili yao ili kuwafanyia urahisi.
Programu hii ni mafanikio makubwa kwa Google kwa sababu itasaidia mamilioni ya walemavu waliopo duniani .
0 comments:
Post a Comment