Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta ametajwa kwenye orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2016.
Mwaka 2015 Samatta ambaye anakipiga kwenye klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, alishinda tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi ndani baada ya kuisaidia timu yake ya zamani TP Mazembe kushinda taji la klabu bingwa Afrika huju yeye akiibuka mfungaji bora wa mashindano, mwaka huu anawania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa ujumla.
Orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo pamoja na Mbwana Samata
Orodha ya wachezaji waonawania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani
0 comments:
Post a Comment