Hutoamini wakenya walichofanya kwa Chriss brown


Licha ya Wakenya kulalamika sana ujio wa Chris Brown miezi michache iliyopita katika ardhi yao, mapenzi yao bado yapo kwa msanii huyo na kazi zake.
Baada ya kuachia ngoma ya “Party” ambayo amewashirikisha Usher pamoja na Gucci Mane, Wakenya wameingia kwenye listi kwa kushika nafasi ya kwanza kwa kununua wimbo huo wa Chris Brown  wa “Party” kwenye mtandao wa Itunes.
Hii ishu inaweza kuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya watu, lakini najua kwa upande wa Chris Brown itakuwa ni jambo kubwa kwani moja ya vitu ambavyo Chris brown anavipenda kuona kwa mashabiki wake ni “true love”, mashabiki ambao wanasapoti muziki na kazi zake, licha ya kuongoza kuinunua ngoma hiyo,  hata Listi ya ngoma ambayo inafanya vizuri katika playlist ya Kenya ni wimbo huohuo wa Party wa Chris Brown

Share on Google Plus

About omary omary

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment