Harmonize afunguka juu ya kuchelewa kuachiwa kwa collabo yake na Korede Bello


Ni miezi zaidi ya 6 imepita sasa tangu mtu mzima Diamond Platnumz C.E.O wa lebo ya WCB Wasafi alivyotusanua kuhusu collabo ya msanii wake Harmonize na mkali kutoka Nigeria ambaye yuko chini ya lebo ya Mavin RecordKorede Bello.

SportExtra imeona sio kesi ikipiga story na Harmonize kuhusiana na collabo hiyo baada ya kuona ni muda mrefu umepita bila chochote kusikika kuhusiana na collabo hiyo.
“Me nina projects nyingi, halafu ni management ndiyo ambayo inahusika na kazi gani itoke, me kazi yangu ni kurekodi muziki mzuri tu na kusema nataka kufanya collabo na msanii gani, wao ndio wanajua muda gani nitashoot video, ni muda gani ngoma itatoka.”
Hayo ni machache kati ya mengi ambayo Harmonize amefunguka wakati akitolea ufafanuzi suala hilo la collabo na Korede Bello. Play hii video hapa chini kusikiliza full interview.

Share on Google Plus

About omary omary

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment