Alikiba apata zaidi ya tuzo 15 (2016)

Mwaka 2016 umekuwa ni mwaka mzuri kwa msanii Alikiba ambaye alishinda tuzo tatu katika tuzo za kwanza za East Africa Televion zinazofahamika kama #EATVAwards ambazo zilifanyika tarehe 10 /12/ 2016. Alikiba aliibuka msanii wa kwanza kupata tuzo nyingi katika usiku huo akifuatiwa na msanii wa filamu nchini Gabo Zigamba ambaye alipata tuzo mbili. Alikiba aliendelea kushinda tuzo zingine mbalimbali ndani na nje ya nchi na kufikia jumla ya tuzo 17 ndani ya mwaka mmoja 2016 huku wimbo wake 'Aje' ukimfanikisha kushinda tuzo nyingi zaidi katika vinyang'anyiro mbalimbali. Kwa mujibu wa Alikiba anasema kwa mwaka 2016 umekuwa ni mwaka ambao milango ilifunguka kimataifa na kitaifa na kumuwezesha kupata tuzo 17 na kudai kuwa hizo tuzo ni za mashabiki na yeye amewahifadhia tu tuzo zao . EATV Awards 1: Artist of The Year 2: Song Of The Year 3: Video of The Year (AJE) 4: MTV EMA Best African Act 5: SoundCity Video Of The Year 6: Watsup TV - Best East African Video (AJE) 7: Best R & B Song (AJE) NAFCA 8: Artist of The Year 9: Song of The Year (AJE) BEFFTA UK 10: Best International African Act 11: Best Music Video (AJE) ASFA 12: Most Fashionable Music Video (AJE) 13: East African Most Stylish 14: Wana Music Awards France - Prix du Public (Chaguo la Watu) 15: Instagram Party TZ - Top Trending Song (AJE)

Share on Google Plus

About omary omary

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment